Muhtasari wa Biashara Utendaji wa leo
Jumla ya Mauzo TZS 2,845,000 +12.5%
Miamala 248 +8.2%
Muhtasari wa Mauzo
KWA NINI LEVANDA

Programu inayoendana na biashara yako

Levanda imejengwa kulingana na shughuli halisi za biashara, ikisaidia biashara kurahisisha kazi za kila siku, kuelewa takwimu zao na kufanya maamuzi bora.

Ongea na Timu Yetu

Rahisi Kutumia

Imebuniwa kueleweka na kutumika kwa urahisi.

Imejengwa kwa Biashara

Imebuniwa kulingana na mtiririko na shughuli halisi za biashara.

Ripoti Madhubuti

Fanya shughuli za kila siku za biashara kuwa taarifa zenye manufaa.

Inapatikana Popote

Fikia taarifa za biashara yako popote ulipo.

LEVANDA KWA TAKWIMU

Tunasaidia biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

0+ Biashara
0+ Watumiaji
0 Nchi
0 Huduma za Biashara
BEI

Unataka kujua Levanda inagharimu kiasi gani?

Angalia bei zetu na chagua kifurushi kinachofaa biashara yako.

Tazama Bei
JINSI YA KUTUMIA LEVANDA

Jifunze jinsi mfumo unavyofanya kazi.

Tazama video zetu za mafunzo ya hatua kwa hatua na ujifunze jinsi ya kunufaika zaidi na mfumo wako wa Levanda.

SHUHUDA

Wateja wetu wanasemaje.

Wamiliki wa Biashara wakieleza jinsi Levanda inavyowasaidia kila siku.

Tazama shuhuda zote
PAKUA PROGRAMU YA LEVANDA

Pata taarifa za biashara yako popote ulipo.

Simamia biashara yako popote ulipo. Pakua Levanda App kwa Android au iPhone na uendelee kuwa karibu na taarifa za mauzo, stoku na utendaji wa biashara yako.

Scan to download Levanda POS app
Skani ili kupakua Inapatikana kwa Android na iPhone