Simamia mauzo, stoku na wateja wako kupitia mfumo pamoja.
Endesha duka lako kwa ufanisi zaidi kwa usimamizi wa mauzo, bidhaa, stoku, wateja, wasambazaji na malipo.
Kila unachohitaji kuendesha duka lako.
Uza kwa uhakika
Rekodi mauzo haraka na uhifadhi kumbukumbu sahihi za miamala.
Jua stoku yako
Fuatilia bidhaa, kiasi, mienendo ya stoku na bidhaa zinazokaribia kuisha.
Simamia wateja
Hifadhi kumbukumbu za wateja na ufuatilie taarifa za manunuzi wanayofanya.
Simamia Biashara Yako
Pata ripoti zenye manufaa zinazokusaidia kuelewa biashara yako inavyofanya kazi.
Rekodi na simamia kila mauzo kwa urahisi.
Weka mauzo yako katika mpangilio sahihi na uirahisishie timu yako kuwahudumia wateja huku wakitunza kumbukumbu kwa usahihi.
Fahamu ulichonacho, unachouza na kinachohitaji.
Weka bidhaa na stoku yako katika mpangilio sahihi ili uwe na picha halisi ya bidhaa ulizonazo.
Tunza kumbukumbu za manunuzi kutoka kwa watu na biashara mbalimbali.
Simamia watu na biashara unazonunua na kuwauzia bidhaa, katika mfumo moja.
Geuza taarifa za kila siku kwenye biashara yako kuwa taarifa zenye manufaa.
Pata taarifa unazohitaji kuelewa mauzo, stoku na utendaji wa biashara yako kwa jumla.
Tumia Levanda kwa siku 14 bure kabla ya kulipa.
Fahamu vipengele muhimu, simamia biashara yako na uone jinsi Levanda inavyoendana na shughuli zako za kila siku.
Chagua mpango unaofaa duka lako.
Pata kila unachohitaji kusimamia mauzo, stoku, wateja na wasambazaji kupitia mfumo mmoja.
Uko tayari kurahisisha usimamizi wa duka lako?
Anza kusimamia mauzo, stoku na wateja wako na Levanda.
Anza Sasa