Simamia wakopaji, mikopo na marejesho yako
Rahisisha shughuli zako za microfinance kwa kutumia mfumo unaokuwezesha kusimamia wakopaji, mikopo, wadhamini, marejesho, matumizi na ripoti za kifedha.
Tumia Levanda kwa siku 14 bure kabla ya kulipa.
Fahamu vipengele muhimu, simamia biashara yako na uone jinsi Levanda inavyoendana na shughuli zako za kila siku.
Usimamizi wa Wakopaji
Hifadhi taarifa za wakopaji wako na upate taarifa unazohitaji unaposimamia shughuli zao za kifedha kwa urahisi.
Usimamizi wa Mikopo
Simamia mchakato mzima wa mkopo, kuanzia kutoa mikopo hadi kufuatilia marejesho na kiasi kinachodaiwa.
Marejesho na Makusanyo
Rekodi marejesho na ufuatilie makusanyo ili kila wakati ujue kiasi kilichokusanywa na kinachodaiwa.
Ripoti na Ufuatiliaji wa Fedha
Pata taarifa halisi za mikopo inayotolewa kupitia ripoti zinazokusaidia kufuatilia mikopo, marejesho, wateja na shughuli za kifedha za kila siku.
Bei rahisi kwa biashara yako ya microfinance.
Chagua kifurushi kinachoendana na ukubwa na mahitaji ya microfinance yako.
Uko tayari kurahisisha shughuli zako za microfinance?
Simamia wakopaji, mikopo, marejesho na shughuli za kifedha na Levanda.
Anza Sasa