Biashara yako, mfukoni mwako.
Pakua Programu ya Levanda kusimamia biashara yako kupitia simu yako, popote ulipo.
Anza kwa hatua tatu.
Pakua programu
Pata Programu ya Levanda kutoka Google Play au App Store.
Fungua akaunti yako
Jisajili bila malipo, kisha chagua huduma inayofaa kwa biashara yako.
Anza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi
Weka taarifa zako na ufurahie huduma tangu siku ya kwanza.
Kabla ya kupakua.
Je, programu ni bure kupakua?
Ndiyo, kupakua Programu ya Levanda ni bure kabsa. Huduma inazotoa zinahitaji malipo, ambapo unaweza kuona bei zake kupitia ukurasa wa Bei.
Inafanya kazi kwenye simu zipi?
Programu ya Levanda inapatikana kwa simu za Android kupitia Google Play na kwa iPhone kupitia App Store. Unaweza pia kuingia kupitia tovuti ya Levanda.
Nianzeje baada ya kupakua?
Fungua programu, fungua akaunti yako bila malipo (au ingia kama tayari unayo), chagua aina ya biashara yako kisha endelea. Video za mafunzo ya kila huduma zinapatikana ili kukuongoza.
Tayari natumia Levanda kwenye tovuti. Je, ninahitaji akaunti mpya?
Hapana, Ingia kwenye programu kwa taarifa zako zile zile unazotumia kwenye tovuti na taarifa za biashara yako zitakuwepo.
Naweza kupata msaada wapi?
Timu yetu iko tayari kukusaidia. Tembelea ukurasa wa Wasiliana Nasi au ongea nasi kupitia WhatsApp.