Weka stoku yako ikiwa imepangwa na chini ya udhibiti.
Simamia bidhaa, mienendo ya stoku, upokeaji na uhamisho kupitia mfumo mmoja rahisi wa usimamizi wa ghala.
Tumia Levanda kwa siku 14 bure kabla ya kulipa.
Fahamu vipengele muhimu, simamia biashara yako na uone jinsi Levanda inavyoendana na shughuli zako za kila siku.
Usimamizi wa Stoku
Hifadhi kumbukumbu sahihi za bidhaa zilizohifadhiwa kwenye stoo yako na ujue kila wakati kilichopo.
Pokea na Rekodi Stoku
Rekodi bidhaa zinazoingia na uhifadhi historia ya stoku iliyopokelewa kwenye stoo yako.
Uhamisho wa Stoku
Hamisha bidhaa kati ya maeneo huku ukiweka kumbukumbu za stoku kwa usahihi.
Ripoti za Stoku
Pata taarifa za bidhaa zilizopo kwenye stoo na mzunguko wa stoku kupitia ripoti.
Bei rahisi kwa stoo yako.
Pata mfumo unaokuwezesha kupangilia stoku yako na kusimamia shughuli ndani ya stoo yako.
Uko tayari kudhibiti stoku ya stoo yako?
Rekodi taarifa za stoku yako, fuatilia mienendo na usimamie stoo yako na Levanda.
Anza Sasa