Chagua huduma sahihi kwa biashara yako.
Fahamu bei za huduma za usimamizi wa biashara za Levanda na uchague kinachofaa zaidi biashara yako.
Mfumo rahisi wa kusimamia duka lako.
Simamia mauzo, bidhaa, stoku, wateja na ripoti za biashara kupitia mfumo mmoja.
- Usimamizi wa maduka mengi
Fanya shughuli za mgahawa wako ziende vizuri.
Simamia oda, meza, shughuli za jikoni, na mauzo ya mgahawa kutoka mfumo mmoja.
Kiwango cha 1
Kwa migahawa midogo inayoanza.
Kwa tawi kwa mwezi
- Hadi oda 100 / siku
- Jiko / sehemu 1
- Usimamizi wa oda
- Ripoti za mauzo
- Shughuli zote za mgahawa na baa
Kiwango cha 2
Kwa migahawa inayokua yenye wateja na oda nyingi zaidi.
Kwa tawi kwa mwezi
- Hadi oda 250 / siku
- Majiko / sehemu 2
- Usimamizi wa oda
- Ripoti za mauzo
- Shughuli zote za mgahawa na baa
Kiwango cha 3
Kwa migahawa iliyoimarika yenye shughuli nyingi kila siku.
Kwa tawi kwa mwezi
- Hadi oda 500 / siku
- Majiko / sehemu 2
- Usimamizi wa oda
- Ripoti za mauzo
- Shughuli zote za mgahawa na baa
Kiwango cha 4
Kwa migahawa mikubwa yenye shughuli nyingi sana.
Kwa tawi kwa mwezi
- Hadi oda 1,000 / siku
- Majiko / sehemu 3
- Usimamizi wa oda
- Ripoti za mauzo
- Shughuli zote za mgahawa na baa
Simamia microfinance yako na Levanda.
Chagua kifurushi kinachoendana na ukubwa na mahitaji ya microfinance yako.
- Usimamizi wa matawi mengi
Dhibiti stoku na bidhaa zako.
Simamia stoku, kuhamisha bidhaa, rekodi za wasambazaji na shughuli za stoo kwa ufanisi zaidi.
Huna uhakika ni suluhisho lipi linakufaa?
Ongea na timu yetu nasi tutakusaidia kupata suluhisho sahihi la Levanda kwa biashara yako.
Ongea na Timu Yetu